
Dkt Mpango Alia na Wanaofumbia Macho Vitendo Vya Ukatili Nchini.
Makamo wa Rais wa Tanzania Dkt Philiph Mpango amesema bado jamii inafumbia macho vitendo vya ukatili hali inayosababisha kushindwa kutoa taarifa katika mamlaka zinazohusika na kuzuia vitendo hivyo . Mpango ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Chama cha Majaji na mahakimu Tanzania(TAWJA)uliofanyika Jijini Arusha kwa lengo la kupanga mikakati ya namna ya kutoa…