
Chadema yapitisha 23 kuwania ujumbe Kamati Kuu
Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewapitisha makada wake 23 kuwania ujumbe wa Kamati Kuu. Hatua ya kupitishwa kwa wagombea hao, imekuja baada ya leo, Jumapili Januari 19, 2025 kusailiwa katika ofisi za makao makuu ya chama hicho, Dar es Salaam. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Itifaki na Mambo ya Nje wa…