
Marekani yaufungia mtandao wa TikTok
Dar es Salaam. Mtandao wa TikTok umeacha kufanya kazi nchini Marekani, saa chache kabla ya sheria mpya inayopiga marufuku mtandao huo kuanza kutekelezwa. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Uingereza (BBC), mtandao huo umepigwa marufuku kutokana na wasiwasi kuhusu uhusiano wake na Serikali ya China na ilipewa tarehe ya mwisho ya Januari 19, 2025….