
LIVE: Dodoma ya kijani mkutano mkuu CCM
Dar es Salaam. Kumekucha Dodoma ndivyo unaweza kuelezea jiji hili kwa sasa wakati huu Chama cha Mapinduzi (CCM) kikifanya mkutano mkuu wake. Mitaa mbalimbali ya Jiji la Dodoma imepambwa kwa bendera za CCM na picha za mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan. Dodoma ya kijani mkutano mkuu CCM Viongozi wa chama na Serikali, wanachama, makada…