
Tanimu: Singida Black Stars imepata jembe
BEKI wa kati wa zamani wa Singida Black Stars anayeichezea Crawley Town ya Uingereza, Benjamin Tanimu amempongeza Mnigeria mwenzake, Amas Obasogie kujiunga na Singida Black Stars kutoka Fasil Kenema ya Ethiopia, huku akisema kwa timu aliyotua imelamba dume. Tanimu ambaye anajivunia ufanisi wake akiwa na timu hiyo kabla ya kutimka nchini, ameonyesha kuwa na imani…