
Azam FC yachomoa watano kikosini
WAKATI dirisha dogo la usajili likifungwa usiku wa jana, timu ya Azam imeondoa nyota watano ndani ya kikosi hicho, huku watatu wakitolewa kwa mkopo na wawili wakipewa mkono wa kwaheri. Nyota walioachwa ni beki wa kati na kiungo, Yannick Bangala aliyeamua kurejea timu yake ya zamani wa AS Vita Club ya DR Congo, huku mwingine…