
Dhana potofu uzazi wa mpango na ukweli wake
Dar es Salaam. Uzazi wa mpango ni uamuzi wa hiari wa mtu binafsi mke/mume au mtu na mwenzi wake kuhusu lini waanze kupata watoto, wazae wangapi, wapishane kwa muda gani, lini waache kuzaa na njia gani ya uzazi wa mpango wangependa kutumia. Matumizi ya kondomu, vipandikizi, sindano, vidonge, kitanzi na kutoshiriki ngono siku za hatari…