
AKILI ZA KIJIWENI: Che Malone ajitathmini vinginevyo
BEKI wa kimataifa ambaye timu inatumia gharama kubwa za fedha kumleta hapa nchini kisha kumhudumia, hatakiwi kufanya makosa ya kizembe ambayo yana athari kwa timu yake. Ndio kama tunavyoamini hapa kijiweni hasa kwa beki kama Che Fondoh Malone ambaye Simba ilitumia mzigo wa kutosha kumchomoa kule Cameroon katika timu ya Cotonsport kuja hapa nchini. Wakati…