Wenye kilo chini ya 50 watakiwa kujifungia ndani kisa upepo mkali
Shanghai. Serikali nchini China imetoa wito kwa wakazi wa Kaskazini mwa nchi hiyo walio na uzito wa chini ya kilo 50 kujifungia ndani ya nyumba, huku wakionya kuwa wanaweza kupeperushwa kwa urahisi na upepo mkali unaovuma katika eneo hilo. Shirika la Habari la Reuters limeripoti leo Jumatatu Aprili 14, 2025 kuwa, Mamlaka ya hali ya…