Chino aingia na staili ya zombi 

MSANII wa Bongo Fleva na dansa maarufu, Chino Wanaman ndiye msanii wa kwanza kuburudisha kilele cha wiki ya Simba Day akiingia na staili ya zombi. Leo ni kilele cha Simba Day ambacho baadaye kitahitimishwa na burudani ya soka, Simba ikiialika Gor Mahia kutoka Kenya. Msanii huyo ameingia kusherehesha kwa Mkapa akiongozana na msanii wa singeli,…

Read More

UJENZI WA KAMPASI YA NJOMBE UDOM WAANZA KWA KASI

  Ujenzi ukienda kwa pamoja na usomaji ramani na michoro. Watalaamu wakiangalia kwa makini michoro ya ujenzi wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi. Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Profesa Lughano Kusiluka, ameeleza kuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Kampasi ya UDOM mkoani Njombe, huku akisisitiza mkandarasi kuongeza…

Read More

Dakika 10 za Joh Makini Simba Day

Msanii wa Hip Hop, John Simon Mseke maarufu Joh Makini amepiga shoo iliyoamsha shangwe kubwa kwaa mashabiki ndani ya Uwanja wa Benjamin Mkapa akitumia takriban dakika 10. Joh Makini anayetambulika pia kwa jina la Mwamba wa Kaskazini, amepiga shoo hiyo katika Tamasha la Simba Day linalofanyika leo Septemba 10, 2025. Shoo ya Joh Makini ilianza…

Read More

INEC yatoa angalizo kauli zinazochochea uvunjivu wa amani

Dar es Salaam. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imeonya wanasiasa wanaotoa kauli kuhamasisha uvunjifu wa sheria kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Mwenyekiti wa INEC, Jaji Jacobs Mwambegele alisema hayo Septemba 9, alipoulizwa na Mwananchi kuhusu kauli za baadhi ya wanasiasa, wakiwamo wagombea wanaohamasisha wananchi kulinda kura. Jaji Mwambegele alisema kufanya hivyo…

Read More

Biashara ya chakula yatawala kwa Mkapa

ACHANA na mauzo ya jezi, biashara inayoonekana kuuzika kwa kiasi kikubwa ni vyakula mbalimbali. Ukiwatoa wale wanaouza kwenye mabanda hatua chache kidogo na Uwanja wa Mkapa, kuna walioweka meza pembezoni mwa uwanja huo uliowekewa uzuo. Kila aina ya chakula unayoijua ipo kwa Mkapa siyo chipsi na vitu vingine wala wali na ugali zipo sambusa zile…

Read More

CCM, Chaumma ni mwendo wa kunadi sera, kusaka kura

Dodoma. Kampeni za kuwania nafasi ya urais, ubunge na udiwani, zimetimiza siku 10 tangu zilipozinduliwa Agosti 28, 2025, huku wagombea wa urais wa vyama mbalimbali wakizunguka huku na kule kunadi sera na kuzisaka kura. Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameshafanya ziara katika mikoa saba kuomba kura, akianzia Dar es Salaam,…

Read More

Hakuna ‘Mungu kama wewe’ yapigwa kwa Mkapa

TAYARI kumeanza kuchangamka katika Uuwanja wa Benjamini Mkapa, Dar es Salaam ambako Simba ina jambo lake leo kwenye kilele cha Tamasha la Simba Day ikiwa ni sehemu ya kusheherekea miaka 89 ya klabu hiyo. Achana na mechi za awali ambazo zimechezwa, burudani zimeanza kuchukua nafasi yake hasa kuanzia saa 10:00 jioni. Ilianza kupigwa ngoma moja…

Read More