WANACHAMA 50 ACT Wazalendo LINDI WATIMUKIA CCM.
Zaidi ya wanachama 50 kutoka katika chama cha ACT Wazalendo wamejiunga na chama Cha mapinduzi ( CCM) Wanachama hao wakiongozwa na aliyewahi kuwa diwani na mwenyekiti kupitia tiketi ya ACT Wazalendo, Said Kitunguli wamepokelewa na Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla wakati akizungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara…