ALLIANCE Girls inataka kubaki WPL
ALLIANCE Girls ya mkoani Mwanza imesema haitaki mambo mengi Ligi Kuu ya Wanawake na inachokitaka ni kubaki tu msimu ujao. Msimu uliopita timu hiyo ilimaliza nafasi ya nane kwa tofauti ya idadi ya mabao ya kufunga na kufungwa ikilingana pointi na Baobab Queens iliyoshuka daraja sambamba na Geita Gold Queens. Akizungumza na Mwanaspoti, Kocha wa…