
Hatua kwa hatua uchaguzi wa Bavicha, Bazecha usiku kama mchana
Dar es Salaam. Makada wa Chadema, Deogratius Mahinyila na Suzan Lyimo wameshinda nafasi za uenyekiti wa Baraza la Vijana (Bavicha) na Wazee (Bazecha) katika uchaguzi uliokuwa na pilika pilika za hapa na pale. Uchaguzi huo ulioanza asubuhi ya jana Jumatatu, Januari 13, 2025 umehitimishwa kwa nyakati tofauti leo Jumanne. Wa Bavicha uliokuwa na hekaheka nyingi…