Simba yachonga njia | Mwanaspoti
KUNA habari zinazoweza kuendeleza furaha ya mashabiki wa Simba baada ya raha waliyonayo ya kuitoa Al Masry ya Misri na kutinga nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Habari hiyo njema inahusu mambo mawili ambayo ni klabu hiyo kuanza haraka mchakato wa kuandaa utaratibu wa kusafirisha idadi kubwa ya mashabiki kwenda Durban, Afrika Kusini ambako…