Sababu za biashara za wajasiriamali wanawake kutoimarika zatajwa
Dodoma. Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake la Mkoa wa Dodoma limesema miongoni mwa vikwazo vinavyofanya biashara za wajasiriamali wanawake kushindwa kukua ni tabia za kufanya matumizi yasiyopangwa katika bajeti. Mwenyekiti wa Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mary Barnabas ameyasema hayo leo Aprili 12, 2025 wakati akizungumza katika mafunzo ya kifedha na kibiashara yaliyoandaliwa na…