
Hiki hapa kinachozibeba Simba, Yanga Caf
SIMBA juzi ilitinga robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kutoka sare ya bao 1-1 ugenini dhidi ya Bravos ya Angola huku Yanga ikijiweka katika nafasi nzuri ya kutinga hatua hiyo kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 ugenini dhidi ya Al Hilal huko Mauritania. Kwa sasa,…