Kwa Mkapa kunanoga | Mwanaspoti

TAMASHA la Simba Day linaendelea kupamba moto Benjamin Mkapa ambako idadi kubwa ya mashabiki tayari imeshaingia kiwanjani huku kukiwa na sehemu chache za majukwaa ambazo watu hawajakaa bado. Licha ya sehemu hizo chache za majukwaa ambazo hazina  mashabiki, nje kuna idadi kubwa ya mashabiki ambao wanaendelea kuingia. Idadi kubwa ya mashabiki waliopo ndani imeonekana kuwa…

Read More

DKT. SAMIA: TUMETEKELEZA MIRADI YA FEDHA NYINGI KWASABABU TUMEDHIBITI RUSHWA NCHINI

-Awapongeza watumishi sekta ya umma na binafsi kwa kusimamia matumizi vizuri -Maombi ya Hussen Bashe aahidi kwenda kufanyia kazi limo Nzega iwe mkoa Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Nzega MGOMBEA Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amesema utekelezaji wa miradi ya maendeleo ambao unafanyika nchini kwa kutumia fedha nyingi inayokusanywa kwasababu wamesimamia matumizi vizuri….

Read More

ULEGA AENDELEA KUINADI ILANI YA UCHAGUZI MKUU CCM AKIOMBA KURA KWA WANANCHI

Na Mwandishi Wetu,Mkuranga MGOMBEA ubunge Jimbo la Mkurunga mkoani Pwani Abdallah Ulega, ameendelea kuimarisha kampeni zake kwa kunadi Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya Uchaguzi Mkuu 2025-2030 huku akisisitiza dhamira ya chama hicho ni kuendelea kuboresha maisha ya wananchi na ustawi wa maendeleo. Akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo Kata…

Read More

Guterres analaani mgomo wa Israeli kwa viongozi wa Hamas huko Qatar kama ‘ukiukwaji mkali’ – maswala ya ulimwengu

Katika taarifa yake, António Guterres alizungumza dhidi ya kile alichokiita “ukiukaji mkali” wa uhuru wa Qatari na uadilifu wa eneo. Alisisitiza kwamba vyama vyote lazima vizingatie kufikia mapigano ya kudumu huko Gaza, “sio (juu) kuiharibu”. Hakuna viongozi wakuu waliouawa, anadai Hamas Hamas aliripoti kwamba watu sita waliuawa, pamoja na mtoto wa mmoja wa viongozi wake…

Read More

Ukata watajwa kukwamisha kampeni za vyama vya upinzani Mbeya

Mbeya. Zikiwa zimetimia siku 14 tangu Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuruhusu kuanza kwa kampeni, baadhi ya vyama vya siasa, hususani vya upinzani mkoani Mbeya bado hakijaeleweka, huku wagombea wakieleza sababu tofauti. INEC ilitangaza kuanza kampeni za uchaguzi mkuu tangu Agosti 28 kwa wagombea nafasi za urais, ubunge, udiwani na uwakilishi, lakini kwa…

Read More

Burudani zatawala nje kwa Mkapa

ACHANA na burudani inayotarajiwa kutolewa baadaye na Simba, lakini hivi sasa nje kuna vaibu lingine linaloendelea kwenye maeneo tofauti karibu na Uwanja wa Mkapa. Leo ni kilele cha wiki ya Simba Day ambayo hutambulisha wachezaji wapya na benchi la ufundi ikitaambatana na burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali na mechi ya kirafiki. Kuna kikundi cha mashabiki…

Read More