Rais Samia na ziara ya kihistoria Angola

Angola. Unaweza kuiita ziara ya kihistoria kwa Rais Samia Suluhu Hassan aliyoifanya nchini Angola kwa mara ya kwanza tangu aingie madarakani Machi 19, 2021. Rais Samia alikuwa nchini humo kwa ziara ya siku tatu aliyoianza Aprili 7, 2025 na kuihitimisha jana baada ya kupokea mwaliko kutoka kwa Rais wa Angola, João Lourenço. Mbali ya kazi…

Read More

Stam azitamani pointi za Yanga

KOCHA Msaidizi wa Fountain Gate, Amri Said ‘Stam’ amesema kikosi chao kimeanza kuonyesha matumaini na kutibu madhaifu yaliyokuwepo hivyo wako tayari kuzipambania alama tatu katika mchezo ujao wa Ligi Kuu dhidi ya Yanga. Stam ambaye kwa sasa anasaidiana na Khalid Adam waliiongoza timu hiyo juzi kupata sare ya bao 1-1 na Pamba Jiji katika Uwanja…

Read More

WAZIRI JAFO AKUNWA NA UWEKEZAJI KIWANDA CHA MAGODORO YA DODOMA ASILI,ATAKA WALIFIKIE SOKO LA AFRIKA

WAZIRI wa Viwanda na Biashara,Mhe.Dkt.Selemani Jafo,akikagua na kujionea shughuli za uzalishaji katika Kiwanda Cha Magodoro ya Dodoma Asili kilichopo katika eneo la Four Ways leo Aprili 10,2025 Jijini Dodoma. …. WAZIRI wa Viwanda na Biashara,Mhe.Dkt.Selemani Jafo (Mb) amewataka Wamiliki wa Kiwanda Cha Magodoro ya Dodoma Asili kuhakikisha wanalifikia Soko huru la Afrika AfCFTA) katika uuzaji…

Read More

Aliyembaka, kumlawiti mama yake na kumsababishia kifo ahukumiwa kunyongwa hadi kufa

Arusha. Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imemhukumu Clemence Mendrad, kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mama yake mzazi, Rose Augustino. Siku ya tukio Clemence alienda kumpokea mama yake aliyekuwa akitokea Ifakara, Morogoro na alipofika kwenye chumba chake alichokuwa amepanga, alimsukumia kitandani akambaka na kumlawiti na mama yake alipojaribu…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Mpanzu, Camara wamemaliza deni Simba

AWAMU tano tofauti nyuma Simba ilishindwa kuvuka kutoka hatua ya robo fainali kwenda nusu fainali ya mashindano ya klabu Afrika. Hili ni jambo ambalo limekuwa likiwatia unyonge sana mashabiki wa mnyama hapa kijiweni kwetu na kwingine hasa ukizingatia watani wao Yanga walifanya hivyo msimu wa 2022/2023 ambao walipenya hadi kucheza fainali. Maana kila wanapotaka kuzungumzia…

Read More

Puma Energy Tanzania Yazindua Awamu ya Pili ya Kampeni ya Usalama Barabarani kwa Wanafunzi wa Shule za Msing

   Kwa kushirikiana na shirika la Amend Tanzania, Puma Energy Tanzania imezindua awamu ya pili ya kampeni yake ya Usalama Barabarani inayojulikana kama ‘Be Road Safe Africa’. Mpango huu wenye kuleta mageuzi kwa usalama barabarani unalenga kuwawezesha watoto na kuboresha uelewa wa usalama barabarani katika jamii zao. Awamu ya pili itaendeleza jitihada zake katika shule…

Read More

HABARI YA KUSHTUA,TAZAMA PICHA MTITI WA LISU AKIKAMATWA NA POLISI MBINGA ,ILIKUWA KAMA SINEMA!

 Tundu Lissu Akamatwa na Polisi Mbinga By Ngilisho Tv  Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma, wilayani Mbinga, mara baada ya kumaliza mkutano wa hadhara uliofanyika jioni ya Aprili 9, 2025. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, tukio…

Read More