
Viongozi wa dini wataja mambo ya kuangalia Dira ya Taifa 2050
Dar es Salaam. Utawala bora wa sheria, elimu, afya, uchumi na familia ni miongoni mwa vinavyopaswa kufanyiwa kazi zaidi katika uandaaji wa dira ya Taifa 2050, imeelezwa. Hayo yameelezwa leo Jumatatu, Januari 13, 2025, katika mkutano wa Kamati za Dini Mbalimbali wa kuhakiki Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, uliofanyika kwenye ukumbi wa…