
Bosi Jatu afikisha siku 746 gerezani bila upelelezi kukamilika
Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Jatu PLC, Peter Gasaya (33), anayekabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi, ameendelea kusota rumande kwa siku 746 kutokana na upelelezi wa kesi hiyo kutokamilika. Gasaya anakabiliwa na mashtaka mawili; kujipatia Sh5.1bilioni 5.1 kwa udanganyifu na kutakatisha kiasi hicho cha fedha, kesi inayosikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi…