
MAPINDUZI YA ZANZIBAR: KUMBUKUMBU TUKUFU.
Miaka sitini na moja, leo tunakumbuka, Mapinduzi matakatifu, yenye historia adhimu, Unguja na Pemba, visiwa vya thamani, Walinyanyuka wananchi, kwa sauti ya ukombozi. Januari kumi na mbili, alfajiri ya matumaini, Wananchi kwa umoja, wakiwa na dhamira, Marungu na mapanga, wakavunja minyororo, Utawala wa Kisultani ukasahaulika milele. Hayati Abeid Amani Karume, jina lako…