
Hatma dhamana ya Dk Slaa leo, kesi nyingine nne ‘kuunguruma’ Dar
Dar es Salaam. Vigogo hawa leo Jumatatu Januari 13, 2025 wanatarajia kupishana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Miongoni mwa vigogo hao ni wanasiasa mkongwe, Wilbroad Slaa (76), ambaye anakabiliwa shtaka moja la kusambaza taarifa za uongo katika Mtandao wa X zamani Twitter. Dk Slaa alifikishwa mahakamani hapo, Ijumaa ya Januari 10, 2025 na kusomewa…