
Mbegu atimkia Mashujaa FC | Mwanaspoti
BEKI wa kushoto wa Singida Black Stars, Yahya Mbegu ametolewa kwa mkopo kwenda kuitumikia timu ya maafande wa Mashujaa FC ya mkoani Kigoma hadi mwisho wa msimu huu, baada ya nyota huyo kushindwa kupenya kikosi cha kwanza mara kwa mara. Akizungumza na Mwanaspoti, Ofisa Habari na Mawasiliano wa Singida Black Stars, Hussein Massanza alikiri Mbegu…