
Straika Mtanzania arejea Bongo | Mwanaspoti
STRAIKA wa zamani wa Fleetwoods United FC, Mgaya Ally iliyokuwa inashiriki Ligi Darala la Pili UAE yuko Bongo akiwindwa na Coastal Union ya Tanga. Nyota huyo alimaliza mkataba wa miaka miwili hivi karibuni na kabla ya kucheza Falme za Kiarabu aliwahi kutumikia Coastal Union ya vijana U-20 msimu wa 2020/21. Hapo awali Mgaya alihusishwa na…