
Taasisi ya Rais ZPDB inavyowezesha kufikia malengo ya SMZ katika miradi ya kipaumbele
Zanzibar inapoadhimisha miaka 61 ya Mapinduzi yake, Taasisi ya Ofisi ya Rais Ufuatiliaji na Usimamizi wa Utendaji Serikalini (ZPDB), inajivunia kuchangia mafaniko makubwa katika maendeleo ya Taifa, ndani ya kipindi cha miaka miwili tangu kuanzishwa kwake. Taasisi hii iliyopo chini ya Ofisi ya Rais Ikulu, ilianzishwa na kuzinduliwa rasmi Desemba 2, 2022 na Rais wa…