Wauza jezi kicheko Simba Day
WAKATI zikisalia saa chache kuanza kwa kilele cha tamasha la Simba Day, asilimia kubwa ya mashabiki wamevalia jezi mpya ya timu hiyo, lakini wafanyabishara wa bidhaa hizo wakichekelea. Kilele cha wiki ya Simba Day ni siku ambayo hutambulisha wachezaji wapya, benchi la ufundi kitaambatana na burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali akiwemo Ali Kiba, Yammi, Mbosso…