Kesi ya waliojifanya waajiri Moro yapigwa kalenda
Morogoro. Kesi inayowakabili watu 14 wanaotuhumiwa kwa kujifanya maofisa wanaotoa ajira, wakiwakusanya vijana 48 kutoka sehemu mbalimbali nchini na kujipatia fedha kinyume na sheria, imeahirishwa hadi Aprili 24, 2025 itakapotajwa tena. Kesi hiyo inasikilizwa katika Mahakama ya Mwanzo mjini Morogoro (Nunge) ambapo katika hati ya mashtaka, watuhumiwa hao wanashtakiwa kwa kujifanya maofisa wenye mamlaka ya…