Fadlu afichua siri Simba, kusajili kiungo nyota Ligi Kuu
Wakati Simba ikijihakikishia kiasi cha Dola 750,000 kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kwa kufuzu nusu fainali ya kombe la Shirikisho Afrika, kocha mkuu wa timu hiyo Fadlu Davids amefichua mipango ya kumsajili kiungo bora mshambuliaji mzawa ambaye hata hivyo hajamtaja jina. Ushindi wa mikwaju ya penalti 4-1 dhidi ya Al Masry jana…