SIMBA SC KUFUZU NUSU FAINALI NA SOMO LA KUTOKUKATA TAMAA MAISHANI
***** Na: Dk. Reubeni Lumbagala. Kaulimbiu iliyoiongoza Klabu ya Simba kuelekea kufuzu Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF dhidi ya wapinzani wao Al Masry “Hii Tunavuka” imezaa matunda na sasa si kusema tena “Hii Tunavuka” bali “Tumevuka.” Kimsingi, Klabu ya Simba ilikuwa na wakati mgumu sana katika mechi hii licha ya ujasiri waliokuwa…