
Wanaume 193 waugua kipindupindu Mbeya
Mbeya. Katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya, watu 261 wamebainika kuugua ugonjwa wa kipindupindu, kati yao wanaume ni 193, wakiwemo watoto 12 wenye umri chini ya miaka mitano. Taarifa hizi zimetolewa na Mganga Mkuu wa Jiji la Mbeya, Dk Yesaya Mwasubila, wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kukabiliana na magonjwa ya mlipuko kikiwamo…