
RAIS SAMIA MGENI RASMI TUZO YA MLIPAKODI BORA JANUARY 23.2025
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inatarajia kufanya maadhimisho ya siku ya shukrani na kutoa tuzo kwa Walipakodi bora kwa mwaka 2023/2024 tukio litakalofanyika Jijini Dar es Salaam January 23.2025. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Arusha Mkurugenzi wa Elimu kwa Mlipakodi na Mawasiliano Bw. Richard Kayombo amesema mgeni rasmi katika maadhimisho hayo anatarajiwa kuwa…