Mitazamo tofauti yanayoendelea Chadema | Mwananchi
Dar es Salaam. Wadau wa siasa nchini Tanzania wamekuwa na maoni tofauti juu ya kile kinachoendelea ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Kwa sasa Chadema kuna mvutano baada ya kuibuka kwa kundi la G55 la watia nia ubunge wa mwaka 2020 na 2025 likijumuisha baadhi ya vigogo wanaokubaliana kwamba No Reforms, lakini si…