
Wanolewa kuondokana na kilimo cha mazoea Zanzibar
Unguja. Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, imesema itaendelea kuunga mkono jitihada za washirika wa maendeleo kuwasaidia wakulima ili wapate tija. Mratibu wa Mradi wa Uhimilivu wa Mifumo ya Chakula, Sihaba Haji Vuai amesema hayo leo Januari 10, 2025 alipofungua mafunzo ya mabibi na mabwana shamba, maofisa kilimo na ushirika, Unguja. Amesema mafunzo hayo…