Ustahimilivu wa Waukraine bado uko juu, kwani ramani za UN zinahitaji msaada na ujenzi mpya kwa 2025 – Masuala ya Ulimwenguni

Imepita takriban miaka mitatu tangu uvamizi kamili wa Urusi wa tarehe 24 Februari 2021, ambao umeua maelfu ya raia na kuharibu miundombinu muhimu, na kuweka uchumi chini ya mkazo mkubwa. Umoja wa Mataifa umerekodi zaidi ya vifo vya raia 28,000 na zaidi ya vifo 10,000, lakini inakubali kwamba idadi halisi inaweza kuwa kubwa zaidi. Wakati…

Read More

Mbowe: Hiki ni kipindi cha kupima viongozi

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema shinikizo na msongo kinachopitia chama hicho wakati huu, ndicho kipimo sahihi cha uvumilivu, ustahimilivu, haiba na uwezo wa viongozi kutunza siri na kuilinda taasisi. Amesema amewaachia wajumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi kuamua nani atakayekiongoza chama hicho kwa nafasi ya uenyekiti…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Nabi anapitia tanuri la moto Sauzi

RAFIKI yetu Nasreddine Nabi wakati anakuja nchini kwa mara ya kwanza kufanya kazi ya kuinoa Yanga, hakukuwa na mbwembwe wala hekaheka nyingi za vyombo vya habari. Ilikuwa hivyo kwa sababu hakuingia kama staa kwa vile alitoka kuachana na El Merreikh ya Sudan kufuatia mwenendo usioridhisha wa timu hiyo katika Ligi ya Mabingwa Afrika na ligi…

Read More

Mabao yairejesha Kagera Sugar kambini haraka

BENCHI la ufundi la Kagera Sugar limepanga kuanza mapema maandalizi ya duru la pili la Ligi Kuu Bara wiki ijayo baada ya kuwapa mapumziko ya wiki tatu wachezaji, huku ikielezwa tatizo la ufungaji mabao ndilo lilicholisukuma benchi hilo kuiwahisha timu kambini. Kagera inayoshika nafasi ya 15 katika msimamo wa Ligi Kuu yenye timu 16, ikiwa…

Read More

Yajue mambo hatari kwa afya ya ubongo

Dar es Salaam. Ubongo ni kati ya viungo muhimu katika mwili wa binadamu, ni chanzo kikuu cha kudhibiti mifumo yote ya mwili. Wataalamu wa afya wamekuwa wakisisitiza juu ya umuhimu wa kulinda afya ya ubongo ili viungo vingine katika mwili wa binadamu viweze kufanya kazi vizuri. Hata hivyo, kutokana na tabia pamoja na mambo mbalimbali…

Read More

Polisi Dar yathibitisha kumshikilia Dk Slaa

Dar es Salaam. Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema wanamshikilia aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chadema na balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dk Wilbrod Slaa. Kamanda Muliro amethibitisha hayo leo Ijumaa Januari 10, 2024 kupitia kipindi cha Good Morning cha Wasafi. “Daktari yupo, tuko naye na tumekuwa na mahojiano naye…

Read More

Shambulio la Zaporizhzhia linaashiria vifo vingi zaidi vya raia katika takriban miaka miwili – Masuala ya Ulimwenguni

Raia 13 waliuawa, na 110 kujeruhiwa, wakati mabomu mawili ya angani yalipopiga kituo cha viwanda katika mji wa kusini. Hii alama idadi kubwa zaidi ya majeruhi ambayo HRMMU imerekodi tangu jengo la makazi katika jiji la Dnipro lilipopigwa tarehe 14 Januari 2023, na mbaya zaidi tangu duka kuu la Kostiantynivka, mkoa wa Donetsk, lilipopigwa tarehe…

Read More