142 wakwama kuingia Soko la Kariakoo, danadana za kulifungua zikiendelea
Dar es Salaam. Wafanyabiashara 142 wa soko Kuu la Kariakoo waliokatwa mara ya pili katika orodha ya wanaotakiwa kurudi sokoni hapo, wameelezwa kuwa hawana vigezo, hivyo kutakiwa kuomba upya. Akizungumza leo Jumatano Aprili 9,2025 na Mwananchi Digital, Ofisa Uhusiano Mkuu wa Shirika la Masoko Kariakoo, Revocutus Kasimba amesema baada ya kupitia barua zao walizoandika kuomba…