Milu Kipimo Apewa Uongozi wa Ukuaji wa Bolt Business Afrika Kusini
Milu Kipimo, raia wa Tanzania, ameteuliwa kuwa Meneja wa Nchi (Country Manager) wa Bolt Business nchini Afrika Kusini (ZA). Kabla ya uteuzi huu, Milu alikuwa Meneja Mkuu wa Bolt kwa Tanzania, Tunisia na Ghana, na sasa anaungana na timu ya Bolt Business Afrika Kusini akiwa na zaidi ya miaka mitano ya uzoefu wa kiuongozi katika…