Juhudi kuondoa maji zashika kasi Kwa Mkapa
WAKATI umesalia muda mfupi kabla ya mchezo wa robo fainali ya pili kupigwa, hali ya hewa ya mvua iliyoanza kunyesha mapema leo imeleta changamoto katika maandalizi ya mchezo huo. Katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, juhudi kubwa zinaendelea kuondoa maji kwa uchache yaliyotuama kwenye baadhi ya maeneo ya kuchezea. Watu wanaoonekana kuwa…