
Dereva wa Serikali aliyedakwa akiendesha pikipiki huku amelewa, mwajiri atoa neno
Morogoro. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara, Zahra Michuzi amesema tayari hatua zimeanza kuchukulia za kinidhamu dhidi ya mtumishi wa halmashari hiyo, Gervas Joshua (39) aliyekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuendesha pikipiki mali ya halmashari hiyo akiwa amelewa kupita kiasi. Mapema leo asubuhi Jumatano Januari 8, 2025 akizungumza na waandishi wa…