
CUF yajifungia kuandaa ilani ya uchaguzi, uteuzi wa katibu mkuu
Dar es Salaam. Baraza Kuu la Uongozi la Chama cha Wananchi (CUF), limejifungia kwenye kikao cha siku moja kujadili mambo mawili, ikiwemo kuandaa ilani ya uchaguzi ya Uchaguzi Mkuu 2025. Pia, watatengeneza mikakati ya kudai Katiba mpya, lakini kupitia kikao hicho cha kwanza tangu kupata safu mpya ya viongozi wanatarajia kufanya uchaguzi wa baadhi ya…