CCM Simiyu yakerwa na kusuasua kwa ujenzi wa Veta Busega
Simiyu. Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu kimeeleza kutoridhishwa na kasi ya ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) kinachojengwa katika Wilaya ya Busega kwa gharama ya Sh1.48 bilioni kwa awamu ya kwanza. Akizungumza leo, Jumanne Aprili 8, 2025, Katibu wa CCM mkoa huo, Eva Ndegeleka, akiongoza wajumbe wa kamati ya siasa ya chama…