Zaidi ya vijana elfu kumi kukutanishwa Morogoro kujadili masuala ya uchumi,Siasa,afya

Wakati Serikali iliendelea na maandalizi ya uchaguzi Mkuu wa Madiwani,wabunge na Rais unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu 2025 vijana wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kushiriki masuala muhimu ya nchi ili kuleta maendeleo. Wito huo umetolewa na Godlisten Mramba ambaye ni mwimbaji nyimbo za injili wakati akizungumza na wahadishi wa habari Mjini Morogoro ambapo…

Read More

Je! Uchapishaji Upya wa Sarafu ya Bangladesh Unafutwa kwenye Urithi wa Bangabandhu? – Masuala ya Ulimwenguni

Uso wa baba mwanzilishi wa Bangladesh, Bangabandhu Sheikh Mujibur Rahman, hivi karibuni utafutwa katika sarafu ya nchi hiyo. Credit: Kumkum Chadha/IPS by Kumkum Chadha (delhi) Jumanne, Januari 07, 2025 Inter Press Service DELHI, Jan 07 (IPS) – Historia inaonekana kuifukuzia Bangladesh hata wakati seŕikali ya mpito inapambana na masuala ya kweli ya kusimamia nchi iliyotupwa…

Read More

Gambo ajibu mapigo, madai ya Makonda

Dar es Salaam. Siku moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kudai mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo haudhurii vikao, mbunge huyo amesema suala hilo linahitaji elimu kwa sababu yeye ni mbunge na ana vikao vya Bunge. “Mimi sio ofisa tarafa, siyo mtendaji wa mtaa wala kata, mimi ni mbunge wa…

Read More

Gambo: Mimi mbunge nina vikao vya Bunge

Dar es Salaam. Siku moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kudai mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo haudhurii vikao, mbunge huyo amesema suala hilo linahitaji elimu kwa sababu yeye ni mbunge na ana vikao vya Bunge. “Mimi sio ofisa tarafa, siyo mtendaji wa mtaa wala kata, mimi ni mbunge wa…

Read More

MSD YAPONGEZWA KWA MABORESHO YA HUDUMA MKOANI KAGERA

Bohari ya Dawa (MSD) imepongezwa kwa kuimarisha mnyororo wa ugavi wa bidhaa za afya mkoani Kagera, ambao umepunguza malalamiko ya upungufu wa bidhaa za afya mkoani humo. Pongezi hizo zimetolewa hapo jana tarehe 6/1/2025 na Katibu Tawala wa Mkoa huo Stephen Ndaki, wakati akizungumza na ujumbe maalum kutoka MSD uliomtembelea ofisini kwake, ukiongozwa na Mwenyekiti…

Read More

Waziri Mkuu Canada atangaza kujiuzulu, Trump atoa kauli

Canada. Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau ametangaza kujiuzulu wadhfa huo na uongozi wa chama tawala nchini humo huku akisema ataondoka ofisini mara baada chama chake kutangaza mrithi wa nafasi yake. Trudeau ametangaza uamuzi huo jana Jumatatu Januari 6, 2025, huku akidai amelazimika kufanya hivyo kutokana na mzozo wa kisiasa uliogubika ndani ya utawala wa…

Read More

TANZANIA KUSHIRIKIANA NA ITALIA KUENDELEZA SEKTA YA MADINI

▪️Mkutano wa Wafanyabiashara wa Tanzania na Italia kufanyika Mwezi Februari, 2025. ▪️Kampuni za Utengenezaji Vifaa kutoka vya Madini kutoka Italia kushiriki. ▪️Wachimbaji kunufaika na teknolojia na mitambo rafiki kwa mazingira Dar es Salaam Waziri wa Madini, Mh. Anthony Mavunde (Mb) amesena kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itaendelea kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na…

Read More