
Polisi yamnasa aliyetangaza kuuza mtoto Sh1.6 milioni mtandaoni
Mwanza. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia watu watatu akiwemo dereva bajaji, John Isaya (21) kwa tuhuma za kutengeneza na kusambaza picha mjongeo kwenye mitandao wa Tik Tok akitangaza kumuuza mtoto wake kwa Sh1.6 milioni. Taarifa ya jeshi hilo iliyotolewa Januari 6, 2024 na kusainiwa na Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Wilbrod Mutafungwa, imeeleza…