
Mahakama yatoa amri kwa anayetuhumiwa kugushi wosia wa mama yake mzazi
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imekubali kutoa hati ya wito wa kumleta Mahakamani Nargis Omar (70) ili aje asomewe mashtaka yanayomkabili. Nargis anadaiwa kughushi wosia wa marehemu mama yake mzazi na kisha kujipatia nyumba kinyume cha sheria. Uamuzi huo umetolewa leo Jumatatu, Januari 6, 2025, na Hakimu Mkazi Mkuu, Beda Nyaki, baada…