I$M BANK TANZANIA YAINGIA UBIA NA PESAPAL KUIMARISHA MALIPO KIDIGITAL KWA BIASHARA

Na Mwandishi Wetu I&M Bank Tanzania imeingia katika ushirikiano wa kimkakati na Pesapal Tanzania, kampuni yenye leseni ya kutoa huduma za malipo na suluhisho za kidijitali. Taarifa iliyotolewa leo Septemba 10,2025 imeeleza ushirikiano huo huu unalenga kupanua upatikanaji wa huduma salama na za uhakika za malipo ya kidijitali kwa biashara nchini Tanzania.Imesema kupitia ubia huo,…

Read More

DKT.NCHIMBI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA JUMUIYA YA MARIDHIANO NA AMANI MKOA WA KATAVI.

MGOMBEA mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Jumuiya ya Mariadhiano na Amani Tanzania Mkoa wa Katavi (JMAT)  leo Jumatano Septemba 10,mjini Mpanda ,Katavi. Mazungumzo yao yalijikita kuangalia jinsi gani ya kuendeleza…

Read More

Darasa la saba waanza mtihani leo

Kibaha. Wanafunzi wa darasa la saba wa Shule ya Msingi Kambarage Manispaa ya Kibaha Mkoa wa Pwani wameelezea namna walivyojiandaa na mtihani wa kuhitimu elimu hiyo unaotarajia kufanyika kwa siku mbili leo na kesho  nchini kote. Wahitimu hao walioanza safari ya kusaka elimu tangu mwaka 2019 wanahitimisha hatua hiyo ikiwa ni maandalizi ya kuanza elimu…

Read More

Chadema watakavyogawa kumbi za Mahakama leo kufuatilia kesi zinazowahusisha

Dar es Salaam. Viongozi, wanachama na wapenzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo watalazimika kugawana kumbi za Mahakama katika kufuatilia mienendo ya kesi mbili tofauti zinazokihusisha chama hicho. Kesi hizo zimekuwa zikiwakutanisha mahakamani wana-Chadema hao ni kesi ya madai inayokikabili chama hicho kuhusiana na mgogoro wa mgawanyo wa rasilimali za chama kati ya…

Read More