Namba zamkatisha tamaa Kocha Azam
KIPIGO cha bao 1-0 ilichokipata Azam mbele ya Singida Black Stars, kimemfanya kocha wa timu hiyo, Rachid Taoussi kuonyesha dalili za waziwazi amekata tamaa. Azam kwa sasa ipo nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi ikiwa na pointi 51 baada ya kucheza mechi 25 na Taoussi alisema matumaini ya wao kutwaa ubingwa msimu huu yamevunjika…