Ushauri wa Profesa Lipumba kwa Bunge
Dar es Salaam. Wakati kikao cha Bunge la Bajeti kinatarajiwa kuanza kesho Jumanne, Aprili 8, 2025, Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, ameshauri kuwa ili kuwatendea haki Watanzania, hotuba zake zijikite kuchambua sababu za kutofanikisha malengo ya Mpango wa Tatu wa Taifa wa Maendeleo. Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa miaka mitano ni wa mwisho…