
Mlimba kutoa mikopo ya asilimia 10 ya Bil.2.2
Halmashauri ya Mlimba Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro imetenga zaidi ya shilingi bilioni 2.2 kwa ajili ya mikopo ya asilimia Kumi ya vijana,wanawake na walemavu . Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya halmashauri ya Mlimba Jamari Idrisa amesema mikopo hiyo inatarajiwa kuinua uchumi wa wananchi wa eneo hilo . Amesema kwa awamu ya kwanza wametoa mikopo…