
Usafiri Moshi bado changamoto | Mwananchi
Moshi. Mamia ya abiria wanaotaka kusafiri kutoka Moshi kwenda maeneo mbalimbali nchini, hususani mikoa ya Dar es Salaam na Dodoma ambao hawakukata tiketi mapema wanalazimika kusubiri kusafiri hadi Januari 9, mwaka huu kutokana na magari mengi kujaa. Hali hiyo inatokana na wingi wa abiria wanaorudi makwao, baada ya kumalizika kwa sherehe za mwisho wa mwaka….