
Maafande waingilia dili la Mpepo
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Eliuter Mpepo ambaye aliwahi kufanya vizuri katika Ligi Kuu Zambia akiwa na Trident FC anajiandaa kutua Tabora United kwa mkataba wa mwaka mmoja, lakini pia Tanzania Prisons ikimpigia hesabu. Mpepo ambaye amefunga mabao saba na kutoa asisti tano kwenye Ligi Kuu Zambia, ameonekana kuwa chaguo muhimu kwa timu hizo zinazohitaji…