
Walimu wa sayansi kurudishwa darasani
Tarime. Serikali inatarajia kutoa mafunzo kwa walimu zaidi ya 9,000 wa masomo ya sayansi, hisabati na Tekonolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) kwa shule za sekondari nchini, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuboresha elimu. Idadi hiyo inatarajiwa kufikiwa Machi mwaka huu, ikiwa ni awamu ya kwanza ya mpango huo kabla ya awamu nyingine, ili…